Service Charter
Printer-friendly versionPDF version

UNIVERSITY OF NAIROBI

COLLEGE OF HEALTH SCIENCES

SCHOOL OF DENTAL SCIENCES

DEPARTMENT OF CONSERVATIVE & PROSTHETIC DENTISTRY

 

CITIZENS SERVICE DELIVERY CHARTER

COMMITMENT TO SERVICE DELIVERY

 

SERVICE

REQUIREMENTS

COST

TIMELINE

Issuance of admission letters

Meeting University Admission  requirements

Nil

Eight (8) weeks prior to reporting date

Orientation of First year students

Meeting University requirements for orientation of First year students

Nil

One (1) week after reporting date

Issuance of guidelines on:  Academic Programmes and Regulations Governing  Conduct  and Discipline of Students

After Admission to the University

Nil

Upon Registration

Conducting of Lectures and other learning activities

Prompt payment of fees and other charges

As detailed in the admission letter

Fully and on time as per approved schedules

Supervision of Masters projects/Doctoral Dissertations or Thesis

Completion and forwarding of Masters Project, Doctoral Dissertation/Thesis

Nil

Ongoing supervision feedback to students  within two (2) weeks after receiving the students’ work

Consolidated mark sheets

Timely marking of examinations

Nil

Four  (4) weeks following the end of examinations

Disciplinary cases for students and staff

Preparation of charges

Nil

To be completed within a period of  30  working days

Medical library

Student ID for access

Nil

To be open from 8.00 a.m. to 10.00 p.m. on week days and 8.00 a.m. to 5.00 p.m. on Saturdays, and from 10.00 a.m. to 4.00 p.m. on Sundays

Graduation ceremony

Successful completion of studies

Ksh. 3000/=

To be held in December annually at a date to be given  by the University

Issuance of certificates and transcripts

Students  to be fully cleared by all their respective schools and departments

Nil

  • Certificates will be issued within eight (8) weeks after graduation
  • Transcripts will be issued within one week upon request

Recruitment and Promotion of staff

Meeting University Recruitment/Promotion  requirements

Nil

Shall be completed within 12 weeks from advertisement to issuance of letters

Staff performance appraisal

Filling the appraisal form and having served in a particular position for at least six months of the appraisal period

Nil

To be conducted between October and March of every Academic year

Procurement of goods and services

Getting the due approvals, providing materials and services that reflect the true value for money paid

Nil

To be done within eight  (8) weeks

Financial Accounting

To observe all University financial regulations and procedures

Nil

To process approved payments within three (3) days

Responding to telephone calls

Communication to be received and responded to  promptly

Nil

Calls to be attended to within 20 seconds

Clearance of students

Students  to be fully cleared by department

Any liability to be paid as per specified cost

To be finalized within two (2) days

 

Complaints, compliments and suggestions should be forwarded to Heads of Departments, details to be accessed in the University website.

 

All appeals on feedback to be forwarded to:

 

Chairman,

Department of Conservative & Prosthetic Dentistry

University of Nairobi

School of Health Sciences

P.O. Box 19676

Nairobi -00200, Kenya

Telephone: +254-020-2726300

E-mail: dept-consdentistry@uonbi.ac.ke

www.cpdentistry.uonbi.ac.ke

 

 

              CHUO KIKUU CHA NAIROBI

CHUO CHA SAYANSI ZA TIBA

SHULE YA SAYANSI YA MENO

HATI YA UTOAJU HUDUMA KWA UMMA

IDARA YA KUHIFADHI NA KUWEKA MENO

HUDUMA

MAHITAJI

GHARAMA

MUDA

Kutolewa kwa Barua za mwaliko kujiunga na Chuo Kikuu

Kutimiza Masharti ya Kujiunga na Chuo Kikuu

Hakuna malipo

Wiki nane (8) kabla ya tarehe ya kufika chuoni

Uelekezi wa Wanafunzi juu ya mazingira na taratibu za chuo

 

Kutimiza masharti ya kujiunga na Chuo Kikuu kwa Wanafunzi wa mwaka wa kwanza

Hakuna malipo

Wiki ya kwanza (1) baada ya kufika chuoni

Kutolewa kwa maelekezo ya mipango ya masomo, taratibu na kanuni za nidhamu kwa wanafunzi

Baada ya kujiunga na chuo na kusajiliwa

Hakuna malipo

Baada ya kusajiliwa

Kutolewa kwa Mihadhara na shughuli nyingine za mafunzo

Baada ya kulipa karo na ada nyinginezo zilizoidhinishwa

Kama ilivyolezwa katika barua ya mwaliko kujiunga na chuo

Kwa wakati ufaao na kwa mujibu wa ratiba zilizoidhinishwa

 

 

Usimamizi wa Miradi, Tafiti na Tasnifu za Uzamili na Uzamifu

Kumaliza na kupeleka karatasi na tasnifu za Uzamili na Uzamifu kwa wasimamizi

Hakuna malipo

Wanafunzi kupata maoni na majibu ya kazi zao wiki mbili (2) baada ya kuwasilisha kazi hizo

Orodha jumuishi ya alama za mitihani

Mitihani kusahihishwa na kuhitimishwa kwa wakati ufaao

Hakuna malipo

Wiki (4) baada ya mitihani kumalizika

Kesi za Nidhamu kwa Wanafunzi na Wafanyikazi

Kutayarishwa kwa mashtaka na tuhuma

Hakuna malipo

Kuhitimishwa katika kipindi cha siku thelethini (30) za utendakazi

Maktaba ya Tiba

Kadi ya utambulisho wa mwanafunzi/Kitambulisho cha mwanafunzi

Hakuna malipo

Kufunguliwa saa mbili asubuhi (8.00) hadi saa nne (10.00) usiku siku za wiki na saa mbili asubuhi (8.00) hadi saa kumi na moja (5.00) siku za Jumamosi na kuanzia saa nne asubuhi (10.00) hadi saa kumi (4.00) alasiri siku za Jumapili

Sherehe za mahafali

Baada ya kumaliza na kuhitimu katika masomo ya chuo

Ksh. 3000/=

Kuandaliwa katika mwezi Disemba katika tarehe itakayotangazwa na Chuo Kikuu kila mwaka

Kutolewa kwa Vyeti na Nakala za Matokeo ya mitihani

Baada ya Mwanafunzi kupata vibali vya kuondoka kutoka shule na idara zote husika za chuo

Hakuna malipo

  • Vyeti vya waliofuzu vitatolewa katika kipindi cha wiki (8) baada ya mahafali
  • Nakala za Matokeo ya mitihani zitatolewa katika kipindi cha wiki moja (1) baada ya kupokelewa kwa maombi

Kuajiriwa na Kupandishwa vyeo kwa Wafanyikazi

Kutimiza masharti ya Chuo Kikuu juu ya mahitaji ya Uajiri na Upandishwaji vyeo

Hakuna malipo

Kuhitimishwa katika kipindi cha wiki kumi na mbili tokea kutangazwa kwa nafasi hadi kutolewa kwa barua Uajiri au Upandishwaji vyeo

Tathimini za Utendakazi wa Wafanyikazi

Kujaza form za tathimini baada ya kuhudumu katika daraja fulani angalau kwa miezi sita katika mwaka kunapofanywa tathimini

Hakuna malipo

Kufanywa kati ya mwezi wa Oktoba na Machi kila mwaka

Ununuzi wa Bidhaa na Huduma

Kupata idhini zinazotakikana, kuwasilisha bidhaa na huduma zinazowiana na thamani kamili ya pesa zinazolipwa

Hakuna malipo

Kuhitimishwa katika kipindi cha wiki nane (8)

Uhasibu wa Fedha

Kuzingatia kanuni na taratibu za uhasibu za Chuo Kikuu

Hakuna malipo

Kushughulikia malipo yaliyoidhinishwa kwa muda usiozidi siku tatu (3)

Kupokelewa kwa simu kwa haraka

Mawasiliano yote yatapokelewa na kushughulikiwa kwa haraka

Hakuna malipo

Simu kujibiwa katika muda usiozidi sekunde ishirini (20)

Cheti cha Kibali cha Kuondoka Chuoni kwa Wanafunzi

Wanafunzi wataidhinishwa kupata Cheti cha Kibali cha kuondoka kutoka idara.

Madeni yote yanayowiwa Chuo kwa mujibu wa gharama zilizoonyeshwa

Kuhitimishwa kwa muda wa siku mbili (2)

 

 

 

UPOKEAJI MAONI NA MAJIBU

 

Malalamiko, pongezi na mapendekezo yatahitaji kuepelekwa kwa wakuu wa idara husika, maelezo ya anwani zao yanapatikana katika tovuti ya Chuo Kikuu www.chs.uonbi.ac.ke

 

Rufaa zote kuhusiana na maoni au majibu ziwasilishwe kwa;

 

Mkuu wa Idara ya kuhifadhi na kuwa Meno

Chuo Kikuu cha Nairobi

S.L.P. 19676—00200

NAIROBI

 

Simu: +254-020-2713673

Barua-pepe: dept-consdentistry@uonbi.ac.ke

Tovuti: www.cpdentistry.uonbi.ac.ke